Articles by "HABARI NA MATUKIO"
Showing posts with label HABARI NA MATUKIO. Show all posts
Kingoba: JAB kutoa leseni za Uandishi wa Habari za Kidigitali, kulipiwa 50,000/= kwa miaka miwili
Na Mwandishi Wetu.Bodi ya Ithibati ya Waandishi Habari Tanzania (JAB) imepanga kutoa kadi za kidijitali ili kulinda wanahabari katika suala la utunzaji wa taarifa zao.Kauli...
TUME KUONGEZA BVR VITUO VYENYE WATU WENGI DAR
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi kadi mpya ya Mpiga Kura Ndg. Abubakari Majuto mkazi wa Mzambarauni Kata ya...
PUMA Energy yawataka wakazi wa Dodoma kuchagua nishati safi kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi
Mbunge wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (katikati) akikata utepe kuzindua mpango wa Nishati safi ya kupikia Mkoani Dodoma inayoendeshwa na Puma Energy...
OFISI YA WAZIRI MKUU YAPONGEZWA KWA KUKAMILISHA MIRADI YA MAENDELEO KWA WAKATI
NA MWANDISHI WETU DODOMA.Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria imepongeza utekelezaji na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayoyekelezwa na Ofisi...
TANGA UWASA KUBORESHA UWEZO WA UZALISHAJI MAJI KUFIKIA LITA MILIONI 60
Na Oscar Assenga, TANGAMAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga Uwasa) imeweka bayana mpango mkakati wao wa kuboresha uwezo wa uzalishaji wa maji kutoka Lita...
JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi-Wakili Kipangula
 Na Mwandishi wetu, JAB.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu ya msingi...
“Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari” - Wakili Kipangula
 Na Mwandishi Wetu, JABBodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi...
DAR WAANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Hawa Halifani Mbega mkazi wa Mtaa wa Mnazi Mmoja Kata ya Jangwani Dar es Salaam akifurahia kadi yake mpya ya Mpiga Kura baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume Huru...
Page 1 of 3551234567...355Next »Last